July 29, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Bingwa wa Ballon D’OR na Meridianbet huyu hapa

 

Wakali wa ubashiri Meridianbet tayari wameshakuwekea washindi wako. Ingia kwenye akaunti yako na uchague mshindi wako sasa. Je yupi kuondoka na tuzo hiyo?. ODDS za kibabe zipo hapa.

OUSMANE DEMBELE ODDS 1.16

Meridianbet wanampa nafasi ya kwanza kuchukua tuzo hiyo mchezaji wa PSG, Ousmane Dembele kwa ODDS 1.16 kutokana na utendaji kazi wake msimu uliopita, lakini pia na mafanikio ambayo aliyapata ndani ya klabu hiyo ya Ufaransa akiwa kama mchezaji ambaye alifanya vizuri mno.

Dembele msimu wa 2024/25 kwenye LIGUE 1 amecheza mechi 29 akifunga magoli 21 akitoa pasi za mwisho (assist) 8. Huku kwenye UEFA CHAMPIONS LEAGUE, winga huyo amecheza mechi 15 akifunga magoli 8 na kutoa assist 6. Lakini pia Psg chini ya Luis Enrique walishiriki michuano ya COUPE DE FRANCE ambapo alicheza mechi 4 akifunga mabao 3 na assist 1.

Kwenye mashindano ya Kombe la Dunia ngazi ya vilabu (CWC) Dembele aliweza kucheza mechi 4 pekee akiingia kambani mara 2 na kutoa assist 1 pekee. Hivyo jumla kwenye msimu uliopita Ousmane amefunga maoli 35 na kutoa assist 16 kwenye mechi 53 ambazo amecheza hadi sasa.

Je unajua kuwa unaweza kutengeneza pesa kwa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Mchezaji huyo kutokana na ubora wake msimu huu wameweza kuchukua makombe manne ikiwemo Ligue 1, Uefa, Coupe de France, pamoja na Super Cup ambayo waliipata Januari. Ni kombe 1 tuu la CWC ambalo hawajachukua kwa kupoteza Fainali dhidi ya Chelsea. Hivyo jisajili hapa.

LAMINE YAMAL ODDS 6.00

Vilevile Lamine Yamal ni moja ya watu ambao wanapigiwa upatu kuchuku tuzo hii ya Ballon D’OR ambayo msimu uliopita aliichukua Rodri. Yamal alifanya vizuri na klabu yake ya FC Barcelona ambapo aliisaidia timu yake kuchukua ubingwa wa ligi yaani LALIGA, SUPER CUP na COPA DEL REY, huku safari yako ya kuchukua Ligi ya mabingwa ikikatishwa kikatili sana na Inter Milan.

Kwenye mechi 35 ambazo alizocheza Lamine amefunga mabao 9 na kutoa assist 13, huku kwa upande wa UEFA amecheza mechi 13 akiingia kambani mara 5 na kutoa assist 3 pekee. Kwa upande wa Cope del Rey alifunga mabao 2 na kutoa assist 6, wakati kwenye Super Cup alifunga bao 1 tuu.

Mhispania huyu mwenye miaka 18 hadi sasa ameweza kuchukua tuzo binafsi ikiwemo tuzo ya Golden Boy, Kopa na Tuzo ya mchezaji bora wa msimu chini ya miaka 23. Bashiri sasa kwa ODDS hizi.

VITINHA ODDS 13

Halikdhalika Vitinha ni mchezaji mwingine ambaye Meridianbet wamempa nafasi ya 3 kuchukua tuzo hii kubwa ya mchezaji bora Duniani Ballon D’or. Vitinha ni kiungo bora kabisa ambaye anakipiga pale PSG huku akiwa ameonesha uwezo wake mkubwa kabisa chini ya Enrique.

Vitinha akiwa na PSG msimu uliopita kwenye LIGUE 1 amecheza mechi 29 akifunga mabao 5 na assist 1, huku wenye UEFA akicheza mechi 17 akipachika mabao 2 na assist 2 pekee, lakini pia kwenye mashindano ya Kombe la Dunia Ngazi ya Vilabu amecheza mechi 7 akifunga bao 1 na kutoa assist 2 tuu. Kwenye Coupe de France na Super Cu akiwa hajafunga bao wala kutoa assist lakini uwepo wake ulikuwa tishio kwa wapinzani.

So kutokana na kiwango ambacho Vitinha alikionesha Meridianbet wamemoa nafasi ya 3 kuchukua tuzo hiyo. Weka pesa yako kwa mchezaji huyo uchukue pesa yako mapema sana mwezi Oktoba.

MOHAMED SALAH ODDS 17

Mohamed Salah mchezaji kutoka Liverpool pia naye yupo kwenye 5 bora ya Meridianbet ambao wanawania tuzo hii ya Ballon D’or kutokana na ubora ambao alionesha msimu uliopita hasa kwenye Ligi kuu na mashindano mengine.

Kwenye EPL Salah alicheza mechi 38 akifunga mabao 29 na assist 18, huku kwenye UEFA alicheza mechi zake 9 akifunga mabao 3 na kutoa pasi 4 za mabao. Vilevile kwenye Carabao alicheza mechi 5 akifunga mabao 2 na kutoa assist 1. Jumla inakuwa amecheza mechi 52, akifunga mabao 34 na assist 19.

Pia Sala amechuku tuzo binafsi ikiwemo mchezaji wa kwanza wa EPL kuhusika kwenye mabao 40+ akifanya hivyo mara mbili msimu wa 2016/17 na msimu uliopita wa 2024/25. Pia amechukua tuzo ya mchezaji bora ya waandishi wa habari yaani (PFA). Tengeneza jamvi lako na Meridianbet sasa.

RAPHINHA ODDS 17

Huku kukiwa na mijadala nani ataondoka na tuzo ya Ballon D’OR klabu ya Barcelona aimetoa wagombea wawili wa tuzo hiyo ambapo sasa ni Raphinha ambaye ni Mbrazil aliyekuwa na kiwango bora klabu hapo.

Tukianza na kwenye LALIGA Raphina amecheza mechi 36 akifunga mabao 18 nakutoa assist 9, huku kwenye mashindano ya Uefa akicheza mechi 14 akifunga magoli 13 na kutoa assist 3. Kwenye Copa del Rey amecheza mechi 5 akiingia kambani mara 1 ma kutoa assist 4 pekee. Pia kwenye Super Cup Mbrazil huyu amecheza mechi 2 akifunga mabao 2 na assist 1..

Raphinha aliteuliwa kama LaLiga Player of the Season, akisaidia Barcelona kushinda treble ya ndani (liga, Copa del Rey na Supercopa) na kutoa 34 magoli na 25 assists katika mechi 57.

Katika Champions League, aliongoza kwa Brazilians wote kwa kufikia 13 goli katika mashindano hayo, akipiga rekodi ambayo ilimfikisha juu ya Kaká, Rivaldo na Neymar katika muktadha huo. Alichaguliwa ndani ya UEFA Champions League Team of the Season 2024/25. Bashiri sasa na Meridianbet.

About The Author

error: Content is protected !!