May 12, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Maliza wikendi kibabe na Meridianbet

 

Kama kawaida ni siku nyingine kabisa ya Jumapili ya wewe mteja wa Meridianbet kuondoka na kitita cha mpunga. Mechi nyingi zitakuwa uwanjani leo kusaka pointi 3. Ingia na ubashiri hapa.

Ligi kuu ya Uingereza leo hii itaendelea kwa michezo kadhaa ambapo mapema kabisa Chelsea atakuwa ugenini kusaka  ushindi dhidi ya Newcastle United ambapo hawa wote wanahitaji kucheza ligi ya mabingwa msimu ujao. Mechi ya kwanza walipokutana, The Blues alishinda. Je leo hii vijana wa Howe watalipa kisasi?. Mechi hii ina ODDS 2.25 kwa 3.05. Bashiri hapa.

Manchester United atakuwa Old Trafford kumenyana dhidi ya West Ham United ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee. Mechi ya mkondo wa kwanza Amorim na vijana wake walipasuka. Leo hii wanataka kulipa kisasi kwa ODDS 2.11 kwa 3.45. Jisajili hapa.

Huku kwa upande wa Tottenham Hot Spurs atapepetana dhidi ya Crystal Palace ambao mechi iliyopita, akitoa sare halikadhalika kwa mwenyeji wake. Nafasi ya kushinda leo hii pale Meridianbet amepewa mgeni kwa ODDS 2.48 kwa 2.80. Suka jamvi hapa.

Maliza wikendi yako na jamvi la Milioni ndani ya Meridianbet . Suka jamvi lako la ushindi hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Na mechi kali hapo baadae ni hii ya Arsenal atakuwa ugenini dhidi ya Liverpool ambao tayari ni mabingwa wa ligi. Vijana wa Arne Slot wametoka kupoteza mechi iliyopita huku The Gunners wao pia wakipoteza. 2.29 kwa 3.15 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

LALIGA kule Hispania kuna ELCLASICO leo FC Barcelona ataumana dhidi ya Real Madrid ambao kwenye mechi 3 za mwisho ambazo wamekutana, Real amepasuka hivyo leo hii anataka kulipa kisasi. Je ataweza mbele ya vijana wa Hans Flick?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.95 kwa 3.45. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Bashiri sasa.

Athletic Bilbao watamenyana dhidi ya Deportivo Alaves ambao wapo nafasi ya 17 wakiwa na pointi zao 35, huku mwenyeji yeye akiwa na pointi zao 61. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili hapa.

Mechi ya usiku itakuwa ni Real Betis vs CA Osasuna ambao wapo nafasi ya 11 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6. Kila timu inahitaji pointi 3 za ushindi leo hii huku wakali wa ubashiri wakimpa mwenyeji nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.66 kwa 5,40. Beti hapa.

Vilevile kule Italia SERIE A inaendelea Hellas Verona atamenyana dhidi ya US Lecce ambao mechi iliyopita amepoteza huku mwenyeji wake akipoteza pia. Tofauti yao ni pointi 5 pekee. Nafasi ya ushindi amepewa mwenyeji kwa ODDS 2.40 kwa 3.50. Suka jamvi hapa.

Vijana wa Inzaghi Inter Milan watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Torino. Mechi ya mkondo wa kwanza kukutana hawa wawili, Inter aliondoka na ushindi nyumbani. Ikumbukwe kuwa mgeni yupo kwenye mbio za ubingwa na ushindi wa leo ni muhimu kwake. Bashiri mechi hii yenye ODDS 4.90 kwa 1.75.

Napoli ambao ndio vinara wa ligi watakuwa nyumbani kuchuana vikali dhidi ya Genoa CFC ambao hawapewi nafasi ya kushinda mechi hii ya leo wakiwa na ODDS 10 kwa 1.35. Je wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili hapa.

Halikadhalika BUNDESLIGA kule Ujerumani napo patawaka haswa ambapo Bayer Leverkusen atakiwasha dhidi ya Borussia Dortmund ambapo mechi ya kwanza kukutana, mwenyeji alishinda ugenini. Je mgeni na yeye anaweza kulipa kisasi akiwa ugenini?. Mechi hii ina ODDS 2.70 kwa 2.50. Tengeneza jamvi hapa.

Huku Eintracht Frankfurt wao wataumana dhidi ya ST Pauli ambao wanashika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 3. Meridianbet wanampa nafasi ya kuondoka na ushindi mwenyeji akiwa na ODDS 1.60 kwa 5.40. Suka jamvi hapa.

Saa 2:30 usiku VFB Stuttgart watakipiga dhidi ya FC Augsburg ambao mechi yao iliyopita, wampigika huku wenyeji wao wakishinda. Mwenyeji yupo nafasi ya 10 na mgeni wake nafasi ya 11. Je nani kushinda leo?. 1.62 kwa 5.20 ndio ODDS za mechi hii. Beti sasa.

About The Author

error: Content is protected !!