
Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo.
Ligi pendwa Duniani, EPL kule Uingereza mechi za leo ni za moto vilevile Manchester United baada ya kutoa sare mechi iliyopita, leo hii atakuwa ugenini tena kukipiga dhidi ya Brentford ambao walishinda mechi yao iliyopita. Nyuki wanahitaji kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana. Je Amorim atakubali kudondosha pointi leo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.80 kwa 4.20.
Brighton atamenyana vikali dhidi ya Newcastle United ambao wanafukuzia nafasi ya kucheza UEFA msimu ujao. Eddie Howe na vijana wake wanataka kulipa kisasi kwa kupoteza mechi ya mkondo wa kwanza leo. Meridianbet wao wanasema hivi mgeni atashinda kwa ODDS 2.40 kwa 2.80. Suka jamvi hapa.
Na mechi kali Uingereza leo hii ni Chelsea vs Liverpool ambaye tayari ameshatwaa taji hili la ligi. The Blues wanahitaji sana ushindi huu wa leo kujiweka sawa kwenye mbio za Top 4. Mechi ya kwanza Jogoo alishinda. Je Enzo Maresca na vijana wake watafanya nini pale Darajani?. 2.20 kwa 3.20 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Nafasi ya wewe kuwa Milionea ipo Meridianbet leo. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
SERIE A, Monza atakiwasha dhidi ya Atalanta ambao wapo nafasi ya 3 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya mwisho. Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mgeni kwa ODDS 1.25 kwa 12. Wewe beti yako unaiweka wapi?. Bashiri hapa.
AS Roma uso kwa uso dhidi ya ACF Fiorentina ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 1 pekee huku mechi ya mwisho kukutana, Roma akipasuka vibaya mno. Je leo hii anaweza kulipa kisasi akiwa numbani?. Mechi hii imepewa ODDS 1.72 kwa 5.20. Tandika jamvi hapa.
Hapo baadae kabisa Juventus atasafiri kukiwasha dhidi ya Bologna ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.26 kwa 3.75. Timu hizi zinatofautiana pointi 1 pekee ambapo Bibi Kizee yupo nafasi ya 4 na mwenyeji nafasi ya 5. Nani kuondoka kifua mbele?. Jisajili hapa.
Ligi kuu ya Hispania LALIGA nayo ni kivumbi Real Madrid atamkribisha kwake Celta Vigo ambao wanashika nafasi ya 7 huku vijana wa Carlo wakiwa nafasi ya 2. Real bado wapo kwenye mbio za ubingwa na ushindi huu wa leo ni muhimu ili wapunguze gepu lao na kinara wa ligi. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.39 kwa 7.00.
Wakati Sevilla wao watakuwa na kibarua dhidi ya CD Leganes ambao mechi iliyopita, walitoa sare, huku wenyeji wao wakipigika. Kila timu inahitaji ushindi leo. Je beti yako unaiweka kwa nani hapa?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Ingia na ubeti sasa.
Athletic Bilbao atakuwa ugenini leo dhidi ya Real Sociedad ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.40 kwa 3.40. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 na mgeni wake nafasi ya 4. Je nani kuondoka na alama 3?. Suka jamvi sasa.
ZINAZOFANANA
Ondoka na maokoto na Meridianbet leo
Piga mshiko wa maana leo
Zaidi ya mamilioni kutolewa na Meridianbet leo