May 29, 2022

Uhuru hauna Mipaka

19 Chadema wapata dhamana

Spread the love

 

Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza, akiwemo Katibu Mkuu wa chama hicho, Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, wameachiwa kwa dhamana leo Alhamisi, Agosti 19 baada ya kusomewa shtaka la kufanya fujo kanisani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza … (endelea).

Watuhumiwa hao wamesomewa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza.

Wanachama hao walikamatwa tarehe 15 Agosti 2021 wakiwa katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo jijini humo.

error: Content is protected !!