Zitto Kabwe

Zitto apoteza ubunge Kigoma Mjini

Spread the love

ZITTO Zuberi Kabwe wa ACT-Wazalendo, ametangazwa kushindwa Ubunge Kigoma Mjini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea).

Msimamizi wa uchaguzi, amemtangaza Kirumbe Ng’enda wa CCM kuwa mshindi kwa kupata kura 27,638 huku Zitto akipata kura 20,600.

Zitto aliingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2005 kupitia Chadema katika Jimbo la Kigoma Kaskazini aliloliongoza kwa miaka kumi mfululizo na mwaka 2015 aligombea Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo na kuibuka mshindi.

ZITTO Zuberi Kabwe wa ACT-Wazalendo, ametangazwa kushindwa Ubunge Kigoma Mjini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea). Msimamizi wa uchaguzi, amemtangaza Kirumbe Ng’enda wa CCM kuwa mshindi kwa kupata kura 27,638 huku Zitto akipata kura 20,600. Zitto aliingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2005 kupitia Chadema katika Jimbo la Kigoma Kaskazini aliloliongoza kwa miaka kumi mfululizo na mwaka 2015 aligombea Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo na kuibuka mshindi.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!