Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini
Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini

Zitto ampinga Mnyika

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, amepinga hoja ya John Mnyika, Waziri Kivuli ya Nishati na Madini, aliyetaka miswada mitatu inayohusu ulinzi wa rasilimali za nchi kutowasilishwa Bungeni kwa hati ya dharura, anaandika Mwandishi Wetu.

Ili kusikiliza zaidi alichosema Zitto kuhusu hoja za Mnyika, fuatilia video hapo chini, pia usiasahau ‘kusubscribe’ channel yetu kupata habari kwa haraka.

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, amepinga hoja ya John Mnyika, Waziri Kivuli ya Nishati na Madini, aliyetaka miswada mitatu inayohusu ulinzi wa rasilimali za nchi kutowasilishwa Bungeni kwa hati ya dharura, anaandika Mwandishi Wetu. Ili kusikiliza zaidi alichosema Zitto kuhusu hoja za Mnyika, fuatilia video hapo chini, pia usiasahau 'kusubscribe' channel yetu kupata habari kwa haraka. https://youtu.be/y-MpCGX7ZEA

Review Overview

User Rating: 3.55 ( 1 votes)
0

About Mwandishi Wetu

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube