Friday , 19 April 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Zaidi ya nyumba milioni 3.4 kukosa umeme Marekani
Kimataifa

Zaidi ya nyumba milioni 3.4 kukosa umeme Marekani

Spread the love

KIMBUNGA cha Irma kimesababisha vifo vitatu baada ya kutua katika jimbo la Florida kikitokea kisiwa cha Marco magharibi mwa pwani ya Florida nchini Marekani, anaandika Irene Emmanuel.

Kimbunga hicho kilichosababisha uharibifu mkubwa kina kasi ya kilomita 192 kwa saa lakini kwa sasa kimeshuka kutoka kiwango cha tatu hadi cha pili.

Zaidi nyumba milioni 3.4 katika jimbo hilo hazina nguvu za umeme kufuatiwa na kimbunga cha Irma kilichoanza jana na sehemu za mji wa Miami zimefurika maji kutokana na kimbunga hicho.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

Kimataifa

Majaji kuamua hatima ya Zuma leo

Spread the loveMajaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za rushwa

Spread the loveSpika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula ametangaza kujiuzulu...

Habari MchanganyikoKimataifa

Tetemeko la ardhi laua 7, lajeruhi 800 Taiwan

Spread the loveWatu wapatao saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 800...

error: Content is protected !!