Yanga yamtimua Niyonzima, kumdai fidia

Spread the love

YANGA SC imevunja Mkataba na kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima kutokana na mchezaji huyo wa Amavubi kukiuka vipengele vya mkataba wake na klabu hiyo. Anaandika Erasto Masalu … (endelea).

Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha amewaambia Waandishi wa Habari katika Mkutano uliofanyika makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam kwamba Niyonzima pia atatakiwa kuilipa klabu. 

Niyonzima amekuwa katika mgogoro na klabu ya Yanga kwa muda mrefu toka alipochelewa kujiunga na klabu yake, akitokea kwao kuitumikia timu ta Taifa ya Rwanda katika michuano ya kimataifa mapema mwezi huu.

Yanga imefikia uamuzi huyo baada ya kumsimamisha nyota huyo kipenzi cha Wanajangwani, lakini pia ilimhoji kupitia Kamati yake ya Nidhamu na kumpa nafasi kiungo huyo kujieleza.

YANGA SC imevunja Mkataba na kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima kutokana na mchezaji huyo wa Amavubi kukiuka vipengele vya mkataba wake na klabu hiyo. Anaandika Erasto Masalu ... (endelea). Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha amewaambia Waandishi wa Habari katika Mkutano uliofanyika makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam kwamba Niyonzima pia atatakiwa kuilipa klabu.  Niyonzima amekuwa katika mgogoro na klabu ya Yanga kwa muda mrefu toka alipochelewa kujiunga na klabu yake, akitokea kwao kuitumikia timu ta Taifa ya Rwanda katika michuano ya kimataifa mapema mwezi huu. Yanga imefikia uamuzi huyo baada ya kumsimamisha nyota huyo kipenzi…

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Masalu Erasto

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!