Saturday , 20 April 2024
Home Kitengo Michezo Yanga wamtimua kocha wake, kisa ubaguzi
Michezo

Yanga wamtimua kocha wake, kisa ubaguzi

Lucy Eymael
Spread the love

KLABU ya Yanga imemfuta kazi kocha wake, Lucy Eymael kutokana na kauli zake za kibaguzi alizozitoa kwa mashabiki wa timu hiyo katika vipindi tofauti. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea).

Pamoja na Eymael kuisaidia Yanga kumaliza Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kumaliza katika nafasi ya pili baada ya kushinda mchezo wake wa jana dhidi ya Lipuli FC kwa bao 1-0, lakini klabu ya Yanga imemtaka kocha huyo kuondoka kuhakikisha anaondoka haraka nchini.

Eymael amekutana na rungu hiyo baada ya kutoa kauli za kibaguzi kwa mashabiki wa Yanga hawajui mpira na anapofanya mabadiliko huwa wanaopiga makelele kama nyani.

Taarifa kamili ya Yanga kumtimua Eymael hii hapa:-

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Tusua mkwanja na mechi za Ijumaa leo

Spread the love  LEO hii mechi zinaendelea kote na wewe kama unataka...

Michezo

Piga pesa na mechi za EUROPA leo hii

Spread the love Hatimaye Alhamisi ya EUROPA imefika ambapo leo hii mechi...

Michezo

Leo ni leo nani kutinga nusu fainali UEFA?

Spread the love HATIMAYE Jumanne ya UEFA imefika ambapo leo hii michezo...

Michezo

Anza Jumatatu yako na Meridianbet

Spread the love  IKIWA ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi...

error: Content is protected !!