Kaimu Mkurugenzi wa Maadili Utumishi, Lambart Chialo
Kaimu Mkurugenzi wa Maadili Utumishi, Lambart Chialo

Watumishi ofisi ya Magufuli wapigwa mkwara

OFISI ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma (OR_MUU) imeshutumu wafanyakazi katika yake kwa kukwamisha malengo ya serikali kuhusu  maadili ya watumishi kwa kuwa watoro kazin pamoja na kutumia vibaya taarifa mbalimbali za serikali , anaandika Jovina Patrick.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi wa Maadili Utumishi, Lambart Chialo amesema misingi mikubwa ya maadili ya Utumishi wa Umma ni mingi na kwamba lazima mambo kadhaa yazingatiwe wakati wa kuyatekeleza.

Misingi hiyo ni pamoja na utaalamu, uaminifu na uwajibikaji  na kwamba changamoto kubwa zinazojitokeza katika ukuzaji wa maadili ni pamoja na utoro kazini, kutumia vibaya taarifa za serikali yaani kutoa taarifa hizo hata kwa wasiohusika nazo, matumizi mabaya ya ofisi kwa kutumia rasilimali za ofisi kwa manufaa binafsi na pia kuvaa mavazi mabaya yasiyo na maadili ya kiofisi.

OFISI ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma (OR_MUU) imeshutumu wafanyakazi katika yake kwa kukwamisha malengo ya serikali kuhusu  maadili ya watumishi kwa kuwa watoro kazin pamoja na kutumia vibaya taarifa mbalimbali za serikali , anaandika Jovina Patrick. Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi wa Maadili Utumishi, Lambart Chialo amesema misingi mikubwa ya maadili ya Utumishi wa Umma ni mingi na kwamba lazima mambo kadhaa yazingatiwe wakati wa kuyatekeleza. Misingi hiyo ni pamoja na utaalamu, uaminifu na uwajibikaji  na kwamba changamoto kubwa zinazojitokeza katika ukuzaji wa maadili ni pamoja na utoro kazini, kutumia vibaya taarifa za serikali yaani kutoa taarifa…

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Jovina Patrick

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube