June 22, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Wanafunzi bora mtihani kidato cha sita 2020

Dk. Charles Msonde, Katibu Mtendani wa NECTA

Spread the love

MATOKEO ya kidato cha sita ya mtihani uliofanyika Juni/Julai 2020 yametangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea).

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde leo Ijumaa tarehe 21 Agosti 2020 visiwani Zanzibar, ametangaza matokeo hayo yakionyesha watahiniwa 82,440 sawa na asilimia 98.35 ya watahiniwa 84,212 waliofanya mtihani huo wamefaulu.

Matokeo hayo, wanafunzi kumi bora wamegawanyika katika makundi matatu, kuna wanafunzi kumi bora masomo sayansi, wapo wa masomo ya Biashara na wale wa masomo ya Lugha na Sanaa.

           Soma zaidi:-

Katika watahiniwa hao bora, wavulana wamefanya vizuri kwenye masomo ya sayansi na biashara huku wasichana wakiwaongoza wavulana masomo ya Lugha na Sanaa.

Mpangilio wote wa masomo haya hapa chini;

error: Content is protected !!