Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Geita, Mponjoli Mwabulambo
Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Geita, Mponjoli Mwabulambo

Wanachama 54 Chadema wambwaga OCD wa Geita

MAWAKILI wanaowatetea wanachama 54 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema), wameshinda pingamizi la Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Geita, Mponjoli Mwabulambo, katika kesi iliyokuwa ikiwakabili ya kufanya mkutano wa ndani kinyume cha Sheria, anaandika Irene David.

Wiki mbili zilizopita wanachama hao walikamatwa na kupelekwa polisi na hatimaye kufikishwa mahakamani ambapo OCD aliwakatalia dhamana dhidi yao na hivyo kubaki gereza la Biharamulo kwa wiki mbili.

Hii leo mawakili hao wameshinda pingamizi hilo na hivyo wanachama hao wataachiliwa kwa dhamana iliyo wazi na taratibu za kuwadhamini zinaendelea.

MAWAKILI wanaowatetea wanachama 54 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema), wameshinda pingamizi la Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Geita, Mponjoli Mwabulambo, katika kesi iliyokuwa ikiwakabili ya kufanya mkutano wa ndani kinyume cha Sheria, anaandika Irene David. Wiki mbili zilizopita wanachama hao walikamatwa na kupelekwa polisi na hatimaye kufikishwa mahakamani ambapo OCD aliwakatalia dhamana dhidi yao na hivyo kubaki gereza la Biharamulo kwa wiki mbili. Hii leo mawakili hao wameshinda pingamizi hilo na hivyo wanachama hao wataachiliwa kwa dhamana iliyo wazi na taratibu za kuwadhamini zinaendelea.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Irene David

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube