Mutahi Kagwe, Waziri wa Afya Kenya 

Wagonjwa 124 wa corona waongezeka Kenya

Spread the love

SERIKALI ya Kenya imetangaza wagonjwa wapya 124 wa virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)

Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020, Waziri wa Afya nchini humo, Mutahi Kagwe amesema, wagonjwa hao wamebainika baada ya sampuni 2,640 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita.

Kangwe amesema, wagonjwa wamefikia 2,340 nchini humo huku wagonjwa 39 wakipona na wanne wakifariki dunia.

Waziri huyo, amewaomba Wakenya kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa huo ikiwemo kuepuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima, kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa maji tiririka.

SERIKALI ya Kenya imetangaza wagonjwa wapya 124 wa virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020, Waziri wa Afya nchini humo, Mutahi Kagwe amesema, wagonjwa hao wamebainika baada ya sampuni 2,640 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita. Kangwe amesema, wagonjwa wamefikia 2,340 nchini humo huku wagonjwa 39 wakipona na wanne wakifariki dunia. Waziri huyo, amewaomba Wakenya kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa huo ikiwemo kuepuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima, kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa maji tiririka.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!