Lathifah Chande, Mbunge Viti Maalum Chadema

Wabunge watatu Chadema watimkia CCM

Spread the love

WABUNGE watatu wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Uamuzi huo wametangaza uamuzi huo ndani ya Bunge jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 15 Juni 2020.

Wabunge hao ni;  Dk. Immaculate Semesi, Anna Gidarya na Lathifah Chande.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI ONLINE & MwanaHALISI TV kwa habari zaidi

 

WABUNGE watatu wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Uamuzi huo wametangaza uamuzi huo ndani ya Bunge jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 15 Juni 2020. Wabunge hao ni;  Dk. Immaculate Semesi, Anna Gidarya na Lathifah Chande. Endelea kufuatilia MwanaHALISI ONLINE & MwanaHALISI TV kwa habari zaidi  

Review Overview

User Rating: 2.25 ( 1 votes)

About Mwandishi Wetu

One comment

  1. Parliament under Ndugai made a lousy House ever in history of Tanzania!!!

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!