Mbunge wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyetenguliwa Ubunge na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC)  Riziki Ngwali akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)
Mbunge wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyetenguliwa Ubunge na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC)  Riziki Ngwali akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)

Wabunge waliotemwa na Lipumba wafunguka 

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

MBUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyetenguliwa Ubunge na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC)  Riziki Ngwali amesema hujuma zilizofanywa ndani ya Chama hicho zinaweza kusababisha machafuko, anaandika Faki Sosi.

Riziki ambaye ni Mwanadiplomasia amesema hayo leo Jijini Dar es Salaam kwenye  Ofisi ya wabunge wa Chama hicho kuwa  hujuma zilizofanywa makusudi  na watendaji wa Serikali ambao waliwajibika kulinda haki na Demokrasia

TAZAMA VIDEO NZIMA HAPA

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn
MBUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyetenguliwa Ubunge na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC)  Riziki Ngwali amesema hujuma zilizofanywa ndani ya Chama hicho zinaweza kusababisha machafuko, anaandika Faki Sosi. Riziki ambaye ni Mwanadiplomasia amesema hayo leo Jijini Dar es Salaam kwenye  Ofisi ya wabunge wa Chama hicho kuwa  hujuma zilizofanywa makusudi  na watendaji wa Serikali ambao waliwajibika kulinda haki na Demokrasia TAZAMA VIDEO NZIMA HAPA https://youtu.be/OQxekdjhUAY

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Faki Sosi

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube