Chuo  Kikuu cha Nairobi
Chuo  Kikuu cha Nairobi

Vurugu zafunga chuo cha Nairobi

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

CHUO  Kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda usiojulikana na Wanafunzi chuoni hapo wameamriwa kuondoka chuoni hapo  leo, anaandika Hamis Mguta.

Uamuzi huo umefikiwa na Seneti ya chuo kutokana na suala la kiusalama.

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Umma wa chuo hicho, John Orindi amesema, “Tutatangaza ni lini chuo kitafunguliwa.”

Uamuzi huo umechukuliwa kutokana na maandamano yaliyofanyika wiki iliyopita ambayo yalisababisha wanafunzi 27 kujeruhiwa.

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn
CHUO  Kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda usiojulikana na Wanafunzi chuoni hapo wameamriwa kuondoka chuoni hapo  leo, anaandika Hamis Mguta. Uamuzi huo umefikiwa na Seneti ya chuo kutokana na suala la kiusalama. Mkurugenzi wa Mawasiliano na Umma wa chuo hicho, John Orindi amesema, "Tutatangaza ni lini chuo kitafunguliwa.” Uamuzi huo umechukuliwa kutokana na maandamano yaliyofanyika wiki iliyopita ambayo yalisababisha wanafunzi 27 kujeruhiwa.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Hamisi Mguta

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube