Vigogo Chadema wagonga mwamba mahakamani

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imekubaliana na maombi ya Jamhuri ya kughairisha usikilizaji wa rufaa ya mwenyekiti wa Chadema, Freman Mbowe na Mbunge wa Tarime, Ester Matiko. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Maamuzi hayo yametolewa muda mfupi uliopita mahakamani hapo na Jaji Sam Runyamika anayesikiliza shauri hilo.

Kabla ya kufikia maamuzi hayo, Jaji Runyamika alitoa nusu saa kuamua, iwapo maombi ya Mbowe na Matiko ya kupewa dhamana yaendelee kusikilizwa ama yasubiri maamuzi ya rufaa.

Serikali iliwasilishwa mahakamani muda mfupi kupinga usikilizaji wa shauri hilo hadi rufaa yao itakaposikilizwa.

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imekubaliana na maombi ya Jamhuri ya kughairisha usikilizaji wa rufaa ya mwenyekiti wa Chadema, Freman Mbowe na Mbunge wa Tarime, Ester Matiko. Anaripoti Mwandishi Wetu ... (endelea). Maamuzi hayo yametolewa muda mfupi uliopita mahakamani hapo na Jaji Sam Runyamika anayesikiliza shauri hilo. Kabla ya kufikia maamuzi hayo, Jaji Runyamika alitoa nusu saa kuamua, iwapo maombi ya Mbowe na Matiko ya kupewa dhamana yaendelee kusikilizwa ama yasubiri maamuzi ya rufaa. Serikali iliwasilishwa mahakamani muda mfupi kupinga usikilizaji wa shauri hilo hadi rufaa yao itakaposikilizwa.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram