Bernard Saanane, Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema

Utata mpya msaidizi wa Mbowe

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

UTATA kuhusu kutoonekana kwa Bernard Saanane, msaidizi wa masuala ya siasa wa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe sasa unazidi kuongezeka. Wanaandika Waandishi Wetu …. (endelea).

Taarifa zinasema Saanane ambaye haonekani nyumbani wala kazini, anaonekana kwa marafiki zake mitaani.

Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu (CC) ya Chadema amesema, “Nina wasiwasi kama siyo mkakati binafsi wa kisiasa. Kijana Saanane amekuwa akionesha kutaka kukwea madarakani haraka hata nje ya taratibu. Tafuteni tu mtaona.”

Taarifa kamili juu ya Bernard Saanane, soma gazeti la MwanaHALISI, Jumatatu wiki ijayo.

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn
UTATA kuhusu kutoonekana kwa Bernard Saanane, msaidizi wa masuala ya siasa wa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe sasa unazidi kuongezeka. Wanaandika Waandishi Wetu .... (endelea). Taarifa zinasema Saanane ambaye haonekani nyumbani wala kazini, anaonekana kwa marafiki zake mitaani. Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu (CC) ya Chadema amesema, “Nina wasiwasi kama siyo mkakati binafsi wa kisiasa. Kijana Saanane amekuwa akionesha kutaka kukwea madarakani haraka hata nje ya taratibu. Tafuteni tu mtaona.” Taarifa kamili juu ya Bernard Saanane, soma gazeti la MwanaHALISI, Jumatatu wiki ijayo.

Review Overview

User Rating: 2.02 ( 3 votes)
0

About Mwandishi Wetu

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube