IMG_2160

Ushahidi wa Dk. wa Muhimbili wamweka huru Manji

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji aliyekuwa anatuhumiwa kwa kosa la utumiaji wa dawa za kulevya, anaandika Faki Sosi.

Hukumu hiyo imetolewa mchana huu na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Cyprian Mkeha kwamba Mahakama imeridhia ushahidi uliwasilishwa na upande wa utetezi.

Hakimu Mkeha amesema pamoja na kuridhia ushahidi wa pamoja, lakini mahakama umekubaliana pasipo shaka na ushahidi uliotolewa na mtumishi wa Umma ambaye ni Daktari kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Hakimu Mkeha amesema kuwa upande wa mashatka umeshindwa kuthibisha makosa ya mtuhumiwa huyo.

Hakimu Mfawidhi Mkeha amesema kuwa uapande wa Mashataka umeshindwa kusibitisha kosa alidaiwa kutenda Manji.

Manji alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Februari 16, 2017 akidaiwa kati ya Februari 6 na 9, 2017 katika eneo la Upanga Sea View wilayani Ilala alitumia dawa za kulevya aina ya heroin.

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji aliyekuwa anatuhumiwa kwa kosa la utumiaji wa dawa za kulevya, anaandika Faki Sosi. Hukumu hiyo imetolewa mchana huu na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Cyprian Mkeha kwamba Mahakama imeridhia ushahidi uliwasilishwa na upande wa utetezi. Hakimu Mkeha amesema pamoja na kuridhia ushahidi wa pamoja, lakini mahakama umekubaliana pasipo shaka na ushahidi uliotolewa na mtumishi wa Umma ambaye ni Daktari kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Hakimu Mkeha amesema kuwa upande wa mashatka umeshindwa kuthibisha makosa ya mtuhumiwa huyo. https://www.youtube.com/watch?v=8W1rbyUW9ig Hakimu Mfawidhi Mkeha amesema kuwa uapande wa Mashataka umeshindwa kusibitisha kosa…

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Faki Sosi

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube