Wapiganaji nchini DRC
Wapiganaji nchini DRC

UN yashutumu jeshi la DRC kwa mauaji

WACHUNGUZI wa Umoja wa Mataifa wanaochunguza  mauaji ya wataalam wao nchini DRC wamebaini kwamba wanajeshi wa serikali ya hiyo wanahusika na mauaji hayo, anaandika Catherine Kayombo.

Awali, ripoti ya wachunguzi  hao kwa baraza la usalama la umoja wa mataifa halikueleza moja kwa moja kwamba wanajeshi  hao wanahusika, bali imewaambia upelelezi unaendelea.

Wataalam hao wa umoja wa mataifa, Michael Sharp mwenye uraia wa Uswis na Zaida Catalan mwenye raia wa Chile waliuwawa mwezi Machi mwaka huu walipokuwa wakifanya utafiti kuhusu hali ya usalama nchini Congo.

Wakati huo huo, maofisa usalama nchini humo wanasema bado hawajafanikiwa kuwapata Mapadri wawili  wa Kanisa Katoliki waliotekwa na watu wasiofahamika.

Hali ya usalama nchini Congo DRC imeendelea kupungua huku serikali ya Kinshasa ikiwashutumu waasi wa Kamwina Nsapu kwa mauaji ya wataalamu hao.

WACHUNGUZI wa Umoja wa Mataifa wanaochunguza  mauaji ya wataalam wao nchini DRC wamebaini kwamba wanajeshi wa serikali ya hiyo wanahusika na mauaji hayo, anaandika Catherine Kayombo. Awali, ripoti ya wachunguzi  hao kwa baraza la usalama la umoja wa mataifa halikueleza moja kwa moja kwamba wanajeshi  hao wanahusika, bali imewaambia upelelezi unaendelea. Wataalam hao wa umoja wa mataifa, Michael Sharp mwenye uraia wa Uswis na Zaida Catalan mwenye raia wa Chile waliuwawa mwezi Machi mwaka huu walipokuwa wakifanya utafiti kuhusu hali ya usalama nchini Congo. Wakati huo huo, maofisa usalama nchini humo wanasema bado hawajafanikiwa kuwapata Mapadri wawili  wa Kanisa Katoliki…

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Catherine Kayombo

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube