maggg

Tundu Lissu aivuruga serikali ya JPM

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

SERIKALI imekiiri kuzuiliwa ndege aina Bombardier ( Q400-Dash 8) iliyonunuliwa hivi karibuni kutokana na deni inalodaiwa na kampuni ya ujenzi, anaandika Faki Sosi.

Hayo yameelezwa leo na Naibu Msemaji wa Serikali, Zamaradi Kawawa alipozungumza na waandishi wa habari.

Kawawa amesema kuwa serikali inachukau hatua za kidiplomasia na za kisheria kuhakisha kuwa ndege hiyo inapatikana.

“Hatua zilizochukuliwa ni zuio la Mahakama ambalo linahitaji ndege hiyo isiondolewe mpaka kesi ya msingi itakapoisha.

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn
SERIKALI imekiiri kuzuiliwa ndege aina Bombardier ( Q400-Dash 8) iliyonunuliwa hivi karibuni kutokana na deni inalodaiwa na kampuni ya ujenzi, anaandika Faki Sosi. Hayo yameelezwa leo na Naibu Msemaji wa Serikali, Zamaradi Kawawa alipozungumza na waandishi wa habari. Kawawa amesema kuwa serikali inachukau hatua za kidiplomasia na za kisheria kuhakisha kuwa ndege hiyo inapatikana. “Hatua zilizochukuliwa ni zuio la Mahakama ambalo linahitaji ndege hiyo isiondolewe mpaka kesi ya msingi itakapoisha.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Faki Sosi

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube