Test2

NCCR-Mageuzi yamteua Maganja kugombea urais, Z’bar wakosa

YEREMIA Kurwa Maganja ameteuliwa na Mkutano Mkuu wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kugombea urais wa nchi hiyo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

Majaliwa akagua ujenzi SGR, atoa maagizo kwa RC Pwani

WAZIRI Mkuu wa Tanznaia, Kassim Majaliwa, amekagua ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) akiridhishwa na kiwango na kasi ya maendeleo ya ujenzi huo ambao umefikia asilimia 87 kwa ...

Read More »

Maslahi ya chama yawaengua wagombea urais NCCR-Mageuzi, wajumbe waduwaa

WANACHAMA watatu wa chama cha NCCR-Mageuzi, wamejitoa kuwania urais urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020 kwa kile walichoeleza kuweka ...

Read More »

Membe achukua fomu kuwania urais Tanzania

BERNARD Kamilius Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Membe ambaye ...

Read More »

Babu Duni, Selasini watofautiana NCCR-Mageuzi kushirikiana na Chadema, ACT-Wazalendo

MAKAMU Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo-Zanzibar, Juma Duni Haji maarufu ‘Babu Duni’ amekitaka Chama cha NCCR-Mageuzi kukubali kushirikiana na vyama vingine vya upinzani nchini Tanzaia kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano ...

Read More »

Lissu kupokelewa kifalme Dodoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kati, kimeandaa mapokezi ya aina yake pindi Tundu Lissu atakapokanyaga ardhi ya jiji hilo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Lissu ambaye anatarajiwa kuchukua fomu ...

Read More »

CUF ‘wamchomea’ Lissu, Membe

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeeleza, rais hapaswi kuchaguliwa kwa kuhurumiwa kutokana na kupigwa risasi ama kufukuzwa kwenye chama chake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Na kwamba, kiongozi ...

Read More »

Sheikh Alhad: Mufti angeruhusi, ningejiunga NCCR-Mageuzi

ALHAD Mussa Salum, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, Kama Sheikh Aboubakar Zuberi, Mufti Mkuu wa Tanzania angemruhusu kujiunga na chama cha siasa, angejiunga na Chama cha ...

Read More »

TOSCI yadhibiti mbegu feki

TAASISI ya kudhibiti ubora wa mbegu Tanzania (TOSCI) imefanikiwa kudhibiti uwepo wa mbegu feki baada ya kuimarisha matumizi ya lebo maalum ikiwemo kuweka nembo ya TOSCI na lebo ya uhakiki ...

Read More »

Ufugaji wa Sungura na kukua kwa mnyonyoro wa thamani wa mkulima

UFUGAJI wa mnyama Sungura umekuwa na faida nyingi bila watu kujua duniani na hivyo kubaki wakifuga wanyama wengine. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Hyasinta Minde ni Afisa Mifugo kutoka ...

Read More »

TFRA: Mawakala, wasambazaji wafikirieni wakulima wadogo

MAWAKALA wa usambazaji mbolea kwa wakulima nchini wametakiwa kuweka mbolea zenye ujazo wa aina mbalimbali madukani ili wakulima wenye uwezo wowote wa kifedha  na wenye mashamba madogo waweze kupata mbolea ...

Read More »

Mradi wa maji Jet-Buza neema kwa wananchi

AWAMU ya kwanza ya Ujenzi wa Mradi wa maji wa Jeti-Buza jijini Dar es Salaam inaendelea kwa kasi ambapo mtandao wa bomba la umbali wa Kilomita 7.5 umeshatandazwa. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Watatu wajitosa kuwania urais NCCR-Mageuzi

WANACHAMA watatu wa chama cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania, watachuana kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Hamis Mguta, ...

Read More »

Lissu, Membe watwishwa zigo ushirikiano Chadema na ACT-Wazalendo

HATMA ya kuwapo kwa ushirikiano wa vyama viwili vya siasa nchini Tanzania vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT- Wazalendo kuelekea uchaguzi mkuu wa Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Mlipuko Beirut: Vifo vyafika 137

NCHI ya Bangladesh imetangaza kupeleka msaada wa chakua na dawa haraka baada ya Mji wa Beirut, Lebanon kukumbwa na janga la mlipuko. Inaripoti itandao ya kimataifa…(endelea). Mlipuko huo uliotokea Jumane ...

Read More »

Magufuli atamani Ndugai awe spika tena

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, ameanza kupigiwa kampeni za kuongoza Bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

CCM kuzindua kampeni Dodoma

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Rais John Pombe Magufuli, amependekeza kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 za chama hicho, zizinduliwe jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Magufuli: Nataka Tanzania iwe kama Ulaya

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli amesema, Serikali anayoingoza, imefanya mambo makubwa kwa wananchi huku akitamani kuifanya nchi hiyo kuwa kama Ulaya. Anaripoti ...

Read More »

CCM yaiga staili ya upinzani

KAULI zilizokuwa zikitolewa na vyama vya upinzani nchini Tanzania kwamba ‘tutalinda kura zetu,’ sasa zinatolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Dk. Bashiru Ally, Katibu ...

Read More »

Ninja arejea Yanga

ABDALLAH  Shaibu (Ninja) amerejea tena ndani ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya La Garaxy inayoshiriki ligi kuu nchini Marekani. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Mshambuliaji mpya Yanga aibuka mchezaji Bora mwezi Julai

MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu ya Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwezi Julai katika msimu wa 2019/20 baada ya kuwabwaga wachezaji ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: CCM yaanza mbwembwe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kimeanza kumwaga tambo, mbwembwe na kejeli dhidi ya vyama pinzania kuelekea uchaguzi mkuu wa Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Magufuli achukua fomu kuwania urais Tanzania

DAKTARI John Pombe Magufuli amechukua fomu ya kuwania urais wa nchi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Alhamisi tarehe 6 Agosti 2020 katika Ofisi za Tume ya Taifa ya ...

Read More »

Prof. Assad atajwa Ilani ya ACT-Wazalendo

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeahidi kumrudisha  Profesa Mussa Assad, katika nafasi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kimeeleza kwamba, ...

Read More »

Ilani ya ACT-Wazalendo hii hapa

MKUTANO Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo uliofanyika jana tarehe 5 Agosti 2020, jijini Dar es Salaam umepitisha Ilani zake Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 kwa upande wa Tanzania ...

Read More »

ACT-Wazalendo yafanyia mabadiliko Katiba yake

MKUTANO Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, umefanya marekebisho ya Katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Mabadiliko hayo yamefanyika jana Jumatano tarehe 5 Agosti, 2020 ...

Read More »

Urais Z’bar: Maalim Seif amtumia salamu Dk. Mwinyi

MAALIM Seif Shariff Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, amemtumia salamu Dk. Hussein Mwinyi, Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ...

Read More »

Watatu wachukua fomu za urais Tanzani

WAGOMBEA watatu wamechukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Membe ataja mtaji wa kumwingiza Ikulu, agusia katiba mpya

BERNARD Kamilius Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha upinzani nchini humo cha ACT-Wazalendo ameeleza mikakati atakayoifanya yeye na chama chake, pindi atakapingia madarakani Novemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Uchaguzi mkuu 2020: Wanawake wajitokeza, rasimu ya Warioba yakumbukwa

JUMATANO ya tarehe 28 Oktoba 2020, Watanzania wenye sifa za kupiga kura, watakuwa na fursa ya kujitokeza kuwachagua madiwani, wabunge na Rais. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Maalim Seif, Membe wateuliwa kugombea urais Tanzania na Z’bar

MKUTANO Mkuu wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kimewateua Bernard Membe na Maalim Seif Sharif Hamad kuwa wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Tujali, tuitunze miundombinu – Waziri Jafo

SERIKALI imetoa wito kwa Watanzania kutunza miundombinu nchini ili fedha zielekezwe kwenye maeneo mengine ya maendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Wito huo umetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, ...

Read More »

Fatma Karume atoa somo la demokrasia, amkosoa Msajili

FATMA Karume, Rais Mstaafu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, ametoa somo la demokrasia kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, unaofanyika leo Jumatano tarehe 5 Agosti 2020 katika Ukumbi ...

Read More »

Lissu amtahadharisha Membe, agusia ushirikiano na ACT-Wazalendo

MWANASIASA machachari wa upinzani nchini Tanzania,Tundu Antipas Lissu, amemuonya kada wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe, kuwa upinzani wa sasa nchini, “siyo lelemama.” Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Zitto aeleza ACT-Wazalendo itakayofanya ikiingia Ikulu

KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amechambua masuala mbalimbali ambayo chama hicho endapo kikiibuka mshindi katika Uchaguzi Mkuu utaaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Msajili ashangazwa Lissu kuibuka mkutano ACT-Wazalendo, Chadema yamjibu

OFISI ya Msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania, imeendelea kusisitiza vyama vya siasa kuzingatia sheria za nchi katika kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 huku akishangazwa ...

Read More »

Polepole alia na Lissu, Chadema

HUMPREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kukishughulikia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa madai ya kunajisi Wimbo ...

Read More »

Lissu aibua shangwe mkutano mkuu ACT-Wazalendo

TUNDU Antipus Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameibua shangwe ndani ya Mkutano Mkuu wa ACT-Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mkutano huo ...

Read More »

Polepole apasua vichwa waliopita kura za maoni

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kutokuwa na simile kwa wanachama wake, waliopita kwenye kura za maoni kisha kukutwa na makandokando. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi ...

Read More »

Maalim Seif: Tukishindwa tutakubali, lakini tukishinda…

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, endapo watashindwa kihalali katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 watakuwa tayari kukubali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Wiki hii: JPM, Lissu ‘kukutana’ NEC

MIOAMBA miwili ya siasa nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, inatarajiwa ‘kupigana kumbo’ katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi (NEC), Dodoma wakati wa kuchukua fomu za urais. Anaripoti ...

Read More »

Membe, Maalim Seif kuteuliwa na ACT-Wazalendo kugombea urais Tanzania, Z’bar?

CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kinafanya mkutano mkuu wa chama hicho ukiwa na ajenga mbili kuu kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

NEC kuanza kutoa fomu za urais leo

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaanza kutoa fomu za uteuzi kwa wagombea urais wa Tanzania na makamu wake, kuanzia leo Jumatano tarehe 5 -25 Agosti 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Chadema: Siku 60 za kampeni zitafidia miaka 5 ya giza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeeleo (Chadema), kimesema kitatumia siku 60 za kampeni za uchaguzi kwa kasi kufidia miaka  mitano ya kuwa kigzani katika kujieleza kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Lissu azidi kuruka vihunzi kugombea urais Tanzania

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, umemteua Tundu Antipus Lissu, kuwa mgombea urais wa nchi hiyo utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Mgombea Urais Chadema Z’bar: Nina wake watatu, watoto kumi ninaweza

SAID Issa Mohamed, ameteuliwa na Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuwa mgombea urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 27 na 28 Oktob, 2020. Anaripoti ...

Read More »

Ilani ya Chadema 2020 hii hapa

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umepitisha Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Ilani hiyo imepitishwa leo Jumanne tarehe 4 Agosti 2020 ...

Read More »

Siku 100 za Chadema Ikulu

NDANI ya siku 100 za utawala mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), endapo kitapata ridhaa ya wananchi, zitakuwa za kimapinduzi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Siri iliyojaa hofu CCM

SAFARI ya kupeleka vilio ama vicheko kwa wateule wake waliopita kwenye kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inazidi kushika kasi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Msajili avitaka vyama vya siasa kuzingatia sheria

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tazania, umetoa wito kwa vyama vya siasa nchini humo kuhakikisha wanazingatia sheria na taratibu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Kauli hiyo ...

Read More »
error: Content is protected !!