Philemon Ndesamburo enzi wa uhai wake
Philemon Ndesamburo enzi wa uhai wake

TANZIA: Philemon Ndesamburo afariki dunia

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

MBUNGE wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi, anaandika Mwandishi Wetu.

Basil Lema, Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, amethibitisha kifo hicho na kueleza kuwa wataendelea kutoa taarifa zaidi juu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe.

MwanaHALISI Online itaendelea kuwajulisha kuhusu msiba huo, endelea kuwa nasi.

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn
MBUNGE wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi, anaandika Mwandishi Wetu. Basil Lema, Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, amethibitisha kifo hicho na kueleza kuwa wataendelea kutoa taarifa zaidi juu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe. MwanaHALISI Online itaendelea kuwajulisha kuhusu msiba huo, endelea kuwa nasi.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Mwandishi Wetu

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube