Friday , 29 March 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Takukuru yakunjua makucha kwa makada wa Chadema
Habari za Siasa

Takukuru yakunjua makucha kwa makada wa Chadema

Amani Golugwa
Spread the love

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha, Amani Golugwa, amehojiwa na Taasisi ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu vitendo vya rushwa vilivyodaiwa kufanywa na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru , Alexander Mnyeti, anaandika Faki Sosi.

Hivi karibu Mbunge wa Arumeru Mashariki alijitokeza kwenye vyombo vya habari akieleza kwa ushahidi wa video namna Mnyeti alivyokuwa akiwashawishi Madiwani wa Chadema kujiuzuru na kukihama chama hicho kwa kutumia (rushwa).

Nassari hakuishia kwa vyombo vya habari bali pia alipeleka Takukuru ushahidi huo aliodai umemnasa Mnyeti akiwashawishi Madiwani wa Chadema kujiuzuru.

Kuhojiwa kwa mwenykiti huyo ni muendelezo wa uchunguzi wa Takukuru ambapo Madiwani wanaotuhumiwa katika sakata hilo wameishahojiwa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Nani anasema kuna hasara ATCL?

Spread the loveRIPOTI za makusanyo na matumizi ya fedha katika Kampuni ya...

Habari za SiasaTangulizi

CAG: Wastaafu, wenza wao chanzo NHIF kufilisika

Spread the loveRIPOTI ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...

Habari za SiasaTangulizi

Vikundi hewa 851 vyalamba bilioni 2.6 mikopo ya halmashauri

Spread the loveVIKUNDI hewa vya wajasirimali wadogo 851 kutoka katika halmashauri 19...

Habari za SiasaTangulizi

Mashirika matano yapata hasara mabilioni ya fedha

Spread the loveMASHIRIKA matano ya Serikali yanayojiendesha kibiashara, yamepata hasara ya mabilioni...

error: Content is protected !!