Tag Archives: Yanga

Yanga mwendo mdundo, yaipiga JKT 3-1

Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda akipambana na beki wa JKT Ruvu

KLABU ya Yanga imezidi kuchanja mbuga katika mbio za kutwaa ubingwa wa msimu huu, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika mchezo wake wa 19 dhidi ya JKT ...

Read More »

Simba yaifumua Ruvu 3-0, Azam yaipumulia Yanga

Wachezaji Simba wakishangilia moja ya mabao waliyofungwa katika mchezo wa leo

TIMU ya Simba imerudisha matumaini ya mbio za ubingwa baada ya kuitandika Ruvu Shooting mabao 3-0, huku Azam FC ikiendelea kuipumulia Yanga kwa kuitandika Coastal Union 1-0. Anaripoti Erasto Stanslaus ...

Read More »

Yanga yaipiga Mgambo 2-0, yajikita kilele, Simba, Azam FC kesho

Washambuliaji wa Yanga, Simon Msuva na Amisi Tambwe waliofunga mabao mawili katika mchezo dhidi ya Mgambo wakishangilia mabao yao

TIMU ya Yanga leo imejikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuitandika mbabe wa Simba, Mgambo Shooting mabao 2-0 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, ...

Read More »

Yanga, Platnum waingiza 91 mil, kuvaana na Kagera kesho

Nahodha wa Yanga, Haruna Niyonzima akimtoka mchezaji wa FC Platnum katika mechi yao ya kwanza

MCHEZO wa Kombe la Shirikisho Afrika uliozikutanisha timu ya Yanga ya Dar es Salaam dhidi ya FC Platnus ya Zimbabwe iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, mwishoni mwa wiki iliyopita imeingiza ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube