Wizara ya Ardhi – MwanaHALISI Online

Tag Archives: Wizara ya Ardhi

Wananchi watofautiana na Kanisa

Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka alipomkabidhi ofisi, Waziri mpya wa wizara hiyo, William Lukuvi

WANANCHI wa Kijiji cha Mahanji, Kata ya Matamba wilayani Makete mkoa wa Njombe, wameandamana kupinga ardhi ya shamba la kijiji isitwaliwe na Kanisa Katoliki. Anaandika Mwandishi wetu … (endelea). Mwenyekiti wa ...

Read More »

Lamudi watoa somo kwa wanunuzi wa viwanja, nyumba

Meneja wa Lamudi Tanzania, Godlove Nyagawa

KAMPUNI ya Lamudi Tanzania imetoa somo kwa wanunuzi wa mali zisizohamishika kama viwanja au nyumba kwa wateja ili kuepukana na matapeli wa uuzwazi wa mali hiyo kuongezeka kwa kasi. Anaandika ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube