Tag Archives: Tegeta Escrow

Kafulila aikaba koo serikali

HOJA tatu za Msemaji wa Kambi ya Upinzani kwa Wizara ya Viwanda na Biashara, David Kafulila, zimeinyima raha serikali, huku Naibu Waziri, Janet Mbene akilazimika kumkejeli kwamba atafute ajenda nyingine ...

Read More »

Zitto Kabwe: Msaliti aliyejivika ukondoo

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe, ameanza kuweweseka. Anasema kisichopo na kusingizia wasiohusika. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara, jimboni kwake Jumapili iliyopita, Zitto alisema, hatua ...

Read More »

Escrow yamtaabisha Prof. Tibaijuka jimboni

Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka

PROFESA Anna Tibaijuka-Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), ameanza ziara jimboni inayotafsiriwa kama ya “kujitakasa” kutokana na kashfa ya mgawo wa sh. bilioni 1.6 za Akaunti ya Tegeta Escrow inayomkabili. Anaadika ...

Read More »
error: Content is protected !!