BAADA ya Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kukwama kufanya kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa 30 Aprili mwaka huu, sasa wadau wa demokrasia wanambana atekeleze makubaliano baina yake na vyama ...
Read More »Rushwa CCM: Donda lililokosa dawa
RAIS Jakaya Kikwete amekiri chama chake kushindwa mapambando dhidi ya rushwa. Amesema, “Kama hatutabadilika katika suala la rushwa, mwaka 2015 tutakuwa na wakati mgumu sana.” Amenukuliwa akikiri kuwa iwapo mwaka ...
Read More »Muswada wa Sheria ya Katiba ‘wachanwa’ Rais Kikwete mtegoni
RAIS Jakaya Kikwete amewekwa mtegoni. Ama akubaliane na Bunge au vyama vya siasa katika mchakato wa kuleta Katiba mpya, MwanaHALISI Online linaweza kuripoti. Tayari vyama vitano vya siasa vilivyoko bungeni ...
Read More »Kikwete kumfukuza kazi Jaji Warioba
RAIS Jakaya Kikwete akisaini muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba uliopitishwa na Bunge wiki mbili zilizopita, atakuwa amefukuza kazi Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba
Read More »Kikwete afokee rushwa, si wahamiaji haramu
NIMEREJEA jijini Dar es Salaam baada ya ziara ya siku nane mkoani Kagera nikiwa katika msafara wa Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Ilikuwa ziara nzuri iliyopata nafasi ya kutosha katika ...
Read More »Nchi iko salama, raia wako salama?
RAIS wa Jamhuri, Jakaya Kikwete amenukuliwa na vyombo vya habari, Alhamisi iliyopita akisema, nchi iko salama; na jeshi liko imara kulinda nchi na mipaka yake. Amesema, “Ujumbe wetu mkubwa wa ...
Read More »Taarifa kuhusu mwaka mmoja wa kufungiwa MwanaHALISI
NI mwaka mmoja kamili leo (30 Julai 2013) tangu serikali ifungie gazeti la MwanaHALISI. Kifungo kinaendelea chini ya amri ya kuzuia uhapishaji “kwa muda usiojulikana.” Zimekuwa siku 365 za kulia ...
Read More »