Tag Archives: Prof. Ibrahim Lipumba

Prof. Lipumba akacha uzinduzi wa ACT-Tanzania

Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania, Zitto Kabwe akipongezwa na wanachama wake katika mkutano wa mkuu wa chama hicho

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amekacha uzinduzi wa chama kipya cha ACT- Tanzania, anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka kwa watu waliokaribu na kiongozi huyo zinasema, ...

Read More »

Prof. Lipumba kutoa mada mkutano wa ACT

PROFESA Ibrahim Lipumba-Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ni miongoni mwa wasomi wa ndani na nje ya nchi walioalikwa kutoa mada katika uzinduzi wa Chama cha ACT-Tanzania tarehe 29 Machi ...

Read More »
error: Content is protected !!