Mgomo wa madereva – MwanaHALISI Online

Tag Archives: Mgomo wa madereva

Mgomo wa madereva watikisa, Serikali yanywea

Umati wa abiria walioshindwa kusafiri baada ya mgomo wa madereva katika kituo cha mabasi cha Ubungo

BAADA ya kutishia kugoma nchini nzima wakapuuzwa, hatimaye madereva wametimiza ahadi yao leo. Shughuli zikamasimama saa takribani saba, wananchi wakisotea usafiri ndipo Serikali ikaibuka na kuwasikiliza. Anaandika Pendo Omary …(endelea). ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube