Mamlaka ya Bandari Tanzania – MwanaHALISI Online

Tag Archives: Mamlaka ya Bandari Tanzania

Sitta amng’oa rasmi Kipande PTA

Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta akizungumza na waandishi wa habari

SAMUEL Sitta-Waziri wa Uchukuzi, amemng’oa rasmi aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (PTA), Madeni Kipande, ambapo sasa anarejeshwa idara kuu ya utumishi ili kupangiwa majukumu mengine. Anaandika Sarafina ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube