Tag Archives: kampeni ya INATOSHA FOUNDATION

Wafukua kaburi la albino na kumnyofoa viungo

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe akiongoza matembezi ya uzinduzi wa kampeni ya kupinga mauaji ya albino 'Inatosha Foundation' hivi karibuni

JESHI la Polisi mkoani Kagera, linawashikilia watu wawili wakituhumiwa kufukua kaburi la marehemu Baltazar  John mwenye ulemavu wa ngozi (albino) na kuchukua viungo viungo vyake. Anaandika Mwandishi wetu … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!