Jeshi la Magereza – MwanaHALISI Online

Tag Archives: Jeshi la Magereza

Maofisa 77 Magereza wavishwa vyeo

Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishina Jenerali, John Minja akimvisha cheo Mrakibu wa Magereza, A. Lusenene kuwa Mrakibu Mwandamizi wa Magereza

KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), John Minja amewavisha vyeo maofisa wa magereza 77 wa mkoa wa Dar es Salaam kati ya 292 waliopandishwa nchi nzima. Anaandika Pendo Omary… ...

Read More »

PRO: Simu zinaingizwa magerezani

Wafungwa wakishona nguo za wafungwa katika kiwanda cha nguo kilichopo katika Gereza la Ukonga

MKUU wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam (RPO), Kamishna Msaidizi wa Magereza (ACP), Joel Bukuku, amekiri baadhi ya wafungwa kushirikiana na askari magereza wasio waadilifu, kuiingiza simu magerezani, jambo ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube