Tag Archives: Edward Lowassa

Rais Kikwete “abariki” mbio za urais wa Lowassa

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa

SIRI imefichuka. Mbio za Edward Lowassa, kusaka urais kwa udi na uvumba, zimebarikiwa kwa asilimia 100 na Rais Jakaya Kikwete. Lowassa amekutana na Kikwete mara kadhaa na kufunga makubaliano ya ...

Read More »
error: Content is protected !!