Tag Archives: ACT-Tanzania

ACT kupeleka Azimio la Arusha mikoani

Mwenyekiti wa ACT-Tanzania, Anna Mghwira (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)

CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kinatarajia kulitangaza Azimio la Arusha kwa umma. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Ziara ya kulitangaza azimio hilo itafanyika katika mikoa ya; Njombe, Iringa, ...

Read More »

Prof. Lipumba akacha uzinduzi wa ACT-Tanzania

Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania, Zitto Kabwe akipongezwa na wanachama wake katika mkutano wa mkuu wa chama hicho

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amekacha uzinduzi wa chama kipya cha ACT- Tanzania, anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka kwa watu waliokaribu na kiongozi huyo zinasema, ...

Read More »

Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

PROFESA Mwesiga Baregu, mmoja wa watu wanaoheshimika nchini amesema, aliyepata kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, anaponzwa na kibuli cha kujiona hakuna zaidi ya yeye. Anandika Saed Kubenea ...

Read More »

Prof. Lipumba kutoa mada mkutano wa ACT

PROFESA Ibrahim Lipumba-Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ni miongoni mwa wasomi wa ndani na nje ya nchi walioalikwa kutoa mada katika uzinduzi wa Chama cha ACT-Tanzania tarehe 29 Machi ...

Read More »

Zitto apigwa ‘stop’ ACT-Tanzania

BAADA ya kutimuliwa Chadema na kukimbilia Chama cha ACT-Tanzania, Zitto ameanza kuwekewa vigingi akitakiwa kutogombea nafasi yoyote ya uongozi wa kitaifa utakaofanyika 28 Machi mwaka huu. Kigingi hicho, kimewekwa na ...

Read More »

Uchaguzi mkuu ACT-Tanzania shakani

HATIMA ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), iko mikononi mwa Jaji Mwandambo wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Hii ...

Read More »
error: Content is protected !!