Askofu wa Dayasisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa akihutubia waumini wake

Siri za Askofu Malasusa zamwagwa

Spread the love

DAKTARI Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) ameendelea kusakamwa na waumini wake kuhusu tuhuma mbalimbali, anaandika Wolfram Mwalongo.

Tuhuma zake za sasa zinaorodheshwa katika waraka ulioandikwa kwa Mkuu wa Kanisa hilo nchini, Dk. Fredrick Shoo na baadhi ya waumini ukimtaja askofu huyo kutumia vibaya mali za kanisa, kujihusisha kimapenzi na wanawake wakiwemo wake wa viongozi wa kanisa hilo.

Kwa taarifa zaidi soma gazeti la MwanaHALISI la leo katika ukurasa wa 6.

DAKTARI Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) ameendelea kusakamwa na waumini wake kuhusu tuhuma mbalimbali, anaandika Wolfram Mwalongo. Tuhuma zake za sasa zinaorodheshwa katika waraka ulioandikwa kwa Mkuu wa Kanisa hilo nchini, Dk. Fredrick Shoo na baadhi ya waumini ukimtaja askofu huyo kutumia vibaya mali za kanisa, kujihusisha kimapenzi na wanawake wakiwemo wake wa viongozi wa kanisa hilo. Kwa taarifa zaidi soma gazeti la MwanaHALISI la leo katika ukurasa wa 6.

Review Overview

User Rating: 4.45 ( 1 votes)

About Masalu Erasto

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!