MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda, anaandika Faki Sosi.
Katika rufaa hiyo Serikali ilipinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro iliyomuachia huru Sheikh Ponda katika tuhuma ya uchochezi.
Hukumu hiyo imetolewa leo na Jaji Mkasi Mongwa.
Leave a comment