KATIBU Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Albert Msovela amewataka wananchi wa kijiji cha Iyenze kata Iyenze wilayani Kahama mkoani Shinyanga kuhakikisha wanawasaidia wanzeo wasiojiweza kwa kuwalipia Bima ya Afya iliyoboreshwa(CHF), anaandika Mwandishi Wetu.
Kijiji hicho kina kaya 1177 wakati 7932 na idadi ya watu wanafikia zaidi ya 7000 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012.
Kauli hiyo imetolewa katika uzinduzi wa CHF ambayo inatoa huduma katika vituo vya fya vya serikali uliofanyika katika kijiji cha Iyenze.
Leave a comment