Dk. Medard Kalemani, Waziri wa Nishati

Serikali yapiga stop kuagiza mita za luku

WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amesema kuanzia Julai mwaka huu, serikali itasitisha uagizaji wa mita za luku ya umeme kutoka nje ya nchi ili kutoa fursa kwa wawekezaji wa ndani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Dk. Kalemani amesema nia ya serikali ni kutoa nafasi kwa wawekezaji nchini kuanza kuzalisha vifaa hivyo ili kuendana na kasi ya Tanzania wa viwanda.

Waziri huyo amesema kuwa usitishwaji wa kuagiza mita za luku unaenda sambamba na ule wa nguzo za umeme kutoka Afrika Kusini na transfoma kutoka nchini India.

WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amesema kuanzia Julai mwaka huu, serikali itasitisha uagizaji wa mita za luku ya umeme kutoka nje ya nchi ili kutoa fursa kwa wawekezaji wa ndani. Anaripoti Mwandishi Wetu ... (endelea). Dk. Kalemani amesema nia ya serikali ni kutoa nafasi kwa wawekezaji nchini kuanza kuzalisha vifaa hivyo ili kuendana na kasi ya Tanzania wa viwanda. Waziri huyo amesema kuwa usitishwaji wa kuagiza mita za luku unaenda sambamba na ule wa nguzo za umeme kutoka Afrika Kusini na transfoma kutoka nchini India.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram