ATCL Dreamliner

Serikali yamjibu Nape kuhusu ATCL

TATIZO la ndege za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kuchelewa kuanza safari zake, leo tarehe 30 Mei 2019 bungeni limeibuliwa na Nape Nnauye, Mbunge wa Mtama. Anaripoti Mwanidishi Wetu … (endelea).

Nape ameihoji serikali kwamba, kumekuwepo na tatizo la ndege kuchelewa kuanza safari zake na wakati mwingine bila abiria kupewa taarifa yoyote na kwamba, nini chanzo chake.

“Kumekuwepo na ucheleweshwaji wa kuanza kwa safari za ndege za ATCL na wakati mwingine muda husogezwa mbele, nini kimekuwa kikichangia jambo hili?” amehoji Nape.

Atashasta Nditiye, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ameeleza kuwa, tatizo hilo lemekuwa likishughulikiwa na kuwa, kwa sasa kukiwa na ucheleweshwaji, abiria hupewa taarifa.

Nditiye amefafanua kuwa, tayari wamefanya mabadiliko makubwa huku wakiendelea kulikabila tatizo hilo ambalo sasa limepungua.

TATIZO la ndege za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kuchelewa kuanza safari zake, leo tarehe 30 Mei 2019 bungeni limeibuliwa na Nape Nnauye, Mbunge wa Mtama. Anaripoti Mwanidishi Wetu … (endelea). Nape ameihoji serikali kwamba, kumekuwepo na tatizo la ndege kuchelewa kuanza safari zake na wakati mwingine bila abiria kupewa taarifa yoyote na kwamba, nini chanzo chake. “Kumekuwepo na ucheleweshwaji wa kuanza kwa safari za ndege za ATCL na wakati mwingine muda husogezwa mbele, nini kimekuwa kikichangia jambo hili?” amehoji Nape. Atashasta Nditiye, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ameeleza kuwa, tatizo hilo lemekuwa likishughulikiwa na kuwa, kwa sasa kukiwa na…

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram