March 9, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Rais Mwinyi aivunja bodi ya shirika la meli na uwakala

Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar

Spread the love

RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Meli na Uwakala, Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Dk. Abdulhamid Mzee imesema, Rais Mwinyi amechukua uamuzi huo leo Jumanne tarehe 15 Desemba 2020 kutokana na kutoridhishwa na uendeshaji wa shirika hilo.

error: Content is protected !!