Rais Magufuli aweka jiwe la msingi Chuo cha Uongozi – MwanaHALISI Online
DiO7B6bWsAIAj-o

Rais Magufuli aweka jiwe la msingi Chuo cha Uongozi

RAIS John Magufuli ambaye pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa chuo cha uongozi cha Mwl. Julius Nyerere kilichopo Kibaha, Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Chuo hicho kinajengwa kwa takriban Sh. 100 bilioni, kwa ufadhili kutoka chama cha CPC cha China kwa ajili ya vyama sita vya ukombozi Africa (CCM, ANC, ZANU-PF, Frelimo, MPLA na SWAPO.

RAIS John Magufuli ambaye pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa chuo cha uongozi cha Mwl. Julius Nyerere kilichopo Kibaha, Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu ... (endelea). Chuo hicho kinajengwa kwa takriban Sh. 100 bilioni, kwa ufadhili kutoka chama cha CPC cha China kwa ajili ya vyama sita vya ukombozi Africa (CCM, ANC, ZANU-PF, Frelimo, MPLA na SWAPO.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Mwandishi Wetu

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube