Rais John Magufuli

Rais Magufuli ateua RAS Simiyu

Spread the love

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli  amemteua, Mariam Perla Mmbaga kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu (RAS). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kabla ya uteuzi huo, Mariam alikuwa Mkurugenzi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Mariam anachukua nafasi ya Jumanne Sagini.

Mariam ataapishwa Jumatatu tarehe 06 Julai, 2020 saa 4:00 asubuhi Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma.

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli  amemteua, Mariam Perla Mmbaga kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu (RAS). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ... (endelea). Kabla ya uteuzi huo, Mariam alikuwa Mkurugenzi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Mariam anachukua nafasi ya Jumanne Sagini. Mariam ataapishwa Jumatatu tarehe 06 Julai, 2020 saa 4:00 asubuhi Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!