Rais Magufuli ateua Mkurugenzi mpya wa Takukuru

RAIS John Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi, Diwani Athuman kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea).

Taarifa ya uteuzi huo  imetolewa leo tarehe 6 Septemba, 2018 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa.

Kamishna Diwani anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi, Valentino Mlowola aliyeteuliwa kuwa Balozi.

“Uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani unaanza leo tarehe 6 Septemba 2018,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Kabla ya uteuzi huo, Kamishna Diwani alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera.

RAIS John Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi, Diwani Athuman kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa ya uteuzi huo  imetolewa leo tarehe 6 Septemba, 2018 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa. Kamishna Diwani anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi, Valentino Mlowola aliyeteuliwa kuwa Balozi. “Uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani unaanza leo tarehe 6 Septemba 2018,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo. Kabla ya uteuzi huo, Kamishna Diwani alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Regina Mkonde

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube