Dk. Philip Mpango, Waziri wa Fedha

Rais Magufuli ateua mawaziri wawili

Spread the love

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ameanza kuunda baraza lake la mawaziri kwa kuteua mawaziri mawaziri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Walioteuliwa ni; Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Dk. Philip Mpango kuhudumunwizara ya Fedha na Mipango.

Mawaziri hao wateule, katika Baraza lililopita la Rais Magufuli, walikuwa wizara hizo hizo.

Prof. Palamaganda Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa imesema, uteuzi wa mawaziri hao unaanza leo Ijumaa tarehe 13 Novemba 2020.

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ameanza kuunda baraza lake la mawaziri kwa kuteua mawaziri mawaziri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ... (endelea). Walioteuliwa ni; Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Dk. Philip Mpango kuhudumunwizara ya Fedha na Mipango. Mawaziri hao wateule, katika Baraza lililopita la Rais Magufuli, walikuwa wizara hizo hizo. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa imesema, uteuzi wa mawaziri hao unaanza leo Ijumaa tarehe 13 Novemba 2020.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

One comment

  1. Mbona hakuna jipya ni wale wale tulitegemea mabadiliko

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!