Rais John Magufuli

Rais Magufuli ateua bosi Tawiri

Spread the love

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Eblate Ernest Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Taarifa iliyotolewa leo Jumanne tarehe 29 Septemba 2020 na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu imesema, kabla ya uteuzi huo, Dkt. Mjingo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Tiba ya Wanyamapori na Huduma za Maabara wa TAWIRI ambaye anachukua nafasi iliyoachwa na Dkt. Simon Mduma ambaye amestaafu.

Msigwa amesema, uteuzi wa Dk. Mjingo unaanza leo Jumanne.

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Eblate Ernest Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ... (endelea). Taarifa iliyotolewa leo Jumanne tarehe 29 Septemba 2020 na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu imesema, kabla ya uteuzi huo, Dkt. Mjingo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Tiba ya Wanyamapori na Huduma za Maabara wa TAWIRI ambaye anachukua nafasi iliyoachwa na Dkt. Simon Mduma ambaye amestaafu. Msigwa amesema, uteuzi wa Dk. Mjingo unaanza leo Jumanne.

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!