PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amechukuliwa fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Ulwe Rajabu, Dar es Salaam … (endelea).
Fomu hiyo amechukuliwa leo tarehe 23 Julai 2020, na kundi la vijana wa chama hicho katika Wilaya ya Kinondoni, na sasa wamempelekea mwenyekiti huo katika Ofisi Kuu ya CUF, Buguruni.
Taarifa zaidi kukujia….
Leave a comment