Prof. Lipumba katumwa – MwanaHALISI Online

Prof. Lipumba katumwa

JITIHADA za kuua upinzani nchini sasa zinaonekana baada ya Prof. Ibrahim Lipumba kukubali kazi ya kubomoa Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Shaaban Matutu.

“Sikiliza, Lipumba hataki uenyekiti CUF,” ameeleza mbunge mmoja wa chama hicho na kuongeza “Lipumba anajua kama hastahili maana aliishatosa chama karibu sana na ushindi.”

Anasema, anachotaka Lipumba …….

Soma habari hii yote kwenye gazeti la MwanaHALISI la leo.

JITIHADA za kuua upinzani nchini sasa zinaonekana baada ya Prof. Ibrahim Lipumba kukubali kazi ya kubomoa Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Shaaban Matutu. “Sikiliza, Lipumba hataki uenyekiti CUF,” ameeleza mbunge mmoja wa chama hicho na kuongeza “Lipumba anajua kama hastahili maana aliishatosa chama karibu sana na ushindi.” Anasema, anachotaka Lipumba ……. Soma habari hii yote kwenye gazeti la MwanaHALISI la leo.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Masalu Erasto

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube