Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida (katikati), akiinga ndani ya chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu
Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida (katikati), akiinga ndani ya chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu

Polisi wamaliza upekuzi kwa Lissu, waambulia patupu

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

MAKACHERO wa jeshi la polisi ambao walienda nyumbani kwa mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu kumpekua tayari wameondoka nyumbani kwake bila kukuta chochote, anaandika Hellen Sisya.

Taarifa zinasema kwamba makachero hawajafanikiwa kupata kitu chochote na bado haijajulikana hatma ya kiongozi huyo wa upinzani.

Kuna taarifa zinasema amerudishwa tena kituo kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn
MAKACHERO wa jeshi la polisi ambao walienda nyumbani kwa mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu kumpekua tayari wameondoka nyumbani kwake bila kukuta chochote, anaandika Hellen Sisya. Taarifa zinasema kwamba makachero hawajafanikiwa kupata kitu chochote na bado haijajulikana hatma ya kiongozi huyo wa upinzani. Kuna taarifa zinasema amerudishwa tena kituo kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Hellen Sisya

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube