Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwapungia Mkono Wabunge, Viongozi na Wanachama walitokeza kumuaga Uwanja wa Ndege Dodoma.

Picha: Freeman Mbowe akisafirishwa kuelekea Dar es Salam

Spread the love

Wabunge wa Chadema na Viongozi Mbalimbali wachama Pamoja na Wanachama waliyojitokeza Kumsindikiza FreemanMbowe, wakitoka Airport Baada ya Mbowe Kuingizwa Kwenye Ndege, ikiwa Ni Safari ya Kuelekea Dar Es Salaam, Kwa ajili ya Matibabu.

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwapungia Mkono Wabunge, Viongozi na Wanachama walitokeza kumuaga Uwanja wa Ndege Dodoma.

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwapungia Mkono Wabunge, Viongozi na Wanachama walitokeza kumuaga Uwanja wa Ndege Dodoma.

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipandiswa kwenye Ambulance kwa ajili ya kuelekea Airport kwenda Dar Es Salaam kwa Matibabu Zaidi.

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipandiswa kwenye Ambulance kwa ajili ya kuelekea Airport kwenda Dar Es Salaam…

Review Overview

User Rating: 0.9 ( 1 votes)

About Mwandishi Wetu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!